Wednesday, October 3, 2018

WEKEZA KATIKA UFUGAJI WA KUKU.




Ufugaji wa kuku ni mradi unaosaidia sana watu wengi hasa unaposimamiwa vizuri. Umeshawahi kuwaza juu ya ufugaji wa kuku sasa kabla hujaanza kufuga tambua mambo 10 yafuatayo kwa undani na uwekeze katika ufugaji wa kuku
1.     MAGONJWA YA KUKU.

2.     AINA/KOO ZA KUKU.


3.     LISHE YA KUKU NA KUCHANGANYA CHAKULA.

4.     MABANDA BORA YA KUKU.


5.     UFUGAJI NA UATAMIAJI WA MAYAI.

6.     MIFUMO YA UFUGAJI WA KUKU.


7.     KULEA VIFARANGA VYA KUKU.

8.     UENDESHAJI WA MRADI WA KUKU.


9.     UTAJIRI KATIKA MIRADI YA KUFUGA KUKU.

10.                        HISTORIA YA KUKU (WAMETOKA WAPI?)


Ndugu naomba tuwe pamoja katika mfululizo wa maada hizo hapo juu zikielezewa kwa ufasaha zaidi ili unapowekeza katika ufugaji wa kuku uwekeze mradi ambao unakuwa na uhakika na unachokifanya,ahsante sana naomba tuwe pamoja katika maada hizo hapo juu.

0 comments: